Search

50 results for Bertha Ismail :

  1. Tanzania yafunika michuano ya EAUWC

    WENYEJI Tanzania imefunika katika mashindano ya michezo kwa Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika Mashariki (EAUWC) yaliyomalizika jana mkoani Arusha. Mashindano hayo...

  2. Simbu avaa ubalozi wa matibabu Fistula

    Mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, Alphonce Simbu anatarajia kuongoza zaidi ya wanariadha 600 nchini kushiriki mbio za Fistula Marathon kwa ajili ya kutoa elimu na kuchangisha fedha za...

  3. Azam yaichapa Mbuni Arusha

    Azam FC imeifunga Mbuni FC mabao 2-0 katika mchezo wa kurafiki uliopigwa jijini Arusha. Mechi hiyo imepigwa katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid unatumika na timu hizo kama maandalizi ya mechi zao...

  4. Polisi watamba kutwaa ubingwa michuano ya Netiboli

    Kikosi cha timu ya Polisi Arusha kimeanza tambo za mapema za kunyakua ubingwa wa michuano wa ligi daraja la kwanza kwa mchezo wa netbali inayotarajia kuanza kutimua vumbi june 21 hadi 29 mwaka...

  5. 300 washiriki mazoezi ya Yoga Arusha

    Zaidi ya washiriki 300 kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Arusha wamefanikiwa kushiriki mazoezi maalum ya Yoga huku wakitaka jamii zingine kuifanya kama desturi katika ratiba zao za kila siku...

  6. Les Wanyika kupagawisha mashabiki wa Rhumba leo Arusha

    Wataalamu wa burudani wa nyimbo za miondoka ya Rhumba Afrika Mashariki na kati, 'Les Wanyika' wamerudi tena kwa kishindo nchini na wanatarajia kufanya shoo ya kibabe leo jumamosi May 27 jijini...

    New Content Item (1)
  7. Arusha mjini wajiongeza

    Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitisha azimio linaloelekeza ligi za wilaya kuchezwa na vijana chini ya umri wa miaka 20, chama cha soka wilaya ya Arusha mjini (ADFA) wameamua...

  8. LaLiga yajitosa michuano ya Chipkizi Cup

    Zaidi ya timu 220 za soka la vijana Kutoka nchi mbalimbali zimethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Chipkizi Afrika Mashariki msimu wa 13 inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha, Desemba 13-18...

  9. Anjelina, Giniki washinda mbio za Ngorongoro race

    Wanariadha Shing'ade Giniki na Anjelina John wamefanikiwa kuibuka washindi wa mbio za Ngorongoro race zilizofanyika leo Septemba 25, 2022 katika viwanja vya mazingira Bora ulioko Karatu mkoani...

  10. Ngorongoro watengea wanariadha, milioni 7

    Waandaaji wa mbio za Ngorongoro wametenga Sh7.4 milioni kwa ajili ya kuwazawadia wanariadha watakaoshinda katika mbio zao. Mbio hizo zinatarajia kufanyika Septemba 25 mwaka huu katika barabara...

Page 1 of 5

Next